Kweli Wapo Wabunge Waliommiss Jakaya Kikwete…Leo Kaibuka Bungeni na Kushangiliwa Dakika Kumi Unknown 11:40:00 am 2017 at 11:34AM April 04 Blogger IFTTT Uncategorized Dodoma. Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ameshangiliwa kwa muda wa zaidi ya dakika 10 mara baada ya kuingia bungeni leo asubuhi. Spika wa Bunge Job Ndugai amesema haijawai kutokea mgeni kushangiliwa katika kipindi chake chote alichokuwepo bungeni. Bunge limeanza leo mjini Dodoma. from Blogger http://ift.tt/2oUb6r0 via IFTTT Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+ Related PostsMajibu Kwa Diallo Kuhusu Alichojifunza Kwenye Sakata la Paul MakondaKimenukaa..Gwajima Azidi Kumchanganya Makonda,Adai Atasema Ukweli Hadi Kieleweke…!!!!Noma Sana …Shilole Atoa Povu Kuhusu Khadija Kopa ..!!!Ukimfaham Makonda Hutaacha Kumpenda. Hata Wapinzani Wake Mkimpata Mtampenda Sana…!!!Humphery Polepole Afunguka Haya Juu ya Kinana…!!Hatariii.. Kocha wa Botswana Amefunguka Haya ya moyoni Kuhusu Mbwana Samatta…!!!