Jinsi y Kupata Channel Zaidi ya 30 za Bure Kupitia Startimes

Naam ndugu zangu tuendelee tu kujuzana mambo mbalimbali maana hili ndio nimeonelea ndio jambo jema, leo tugeukie kwenye kisimbuzi cha startimes lakini leo tuchungulie kisimbuzi kinachotumia dish.
Huenda ulikuwa hujui ila channel za bure zipo nyingi mno katika kisimbuzi cha startimes kinachotumia dish leo nakupa siri hii bure kabisa fuata njia hizi hapa.
chukua remote yako bonyeza button ya menu
kisha chagua DVBS Installation
kisha chagua single search
kisha search zitakuja

from Blogger http://ift.tt/2oylGaj
via IFTTT

from Blogger http://ift.tt/2oye9bN
via IFTTT


Related Posts