Breaking News: Spika wa Bunge Aagiza Polisi Wamkamate Mbunge Halima Mdee

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai ameliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumfikisha Bungeni Mbunge wa Kawe (CHADEMA) Halima Mdee kujibu tuhuma za kutoa lugha za matusi kwa Spika wakati wa uchaguzi wa Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki uliofanyika April 4, 2017.

from Blogger http://ift.tt/2oMheT0
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2oMaMvk
via IFTTT