Dar es Salaam. Rais John Magufuli
amefanya mabadiliko madogo ya
katika Baraza la Mawaziri kwa
kumteua Profesa Palamagamba
Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na
Sheria.
Nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Dk
Harrison Mwakyembe ambaye
anakuwa Waziri wa Habari,
amefanya mabadiliko madogo ya
katika Baraza la Mawaziri kwa
kumteua Profesa Palamagamba
Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na
Sheria.
Nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Dk
Harrison Mwakyembe ambaye
anakuwa Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo
iliyokuwa ikishikiliwa na Nape
Nnauye.
Taarifa iliyotolewa leo asubuhi na
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais,
Ikulu, Gerson Msigwa imesema kuwa
uteuzi huo unaanza mara moja na wateule wote wataapishwa kesho mchana.
iliyokuwa ikishikiliwa na Nape
Nnauye.
Taarifa iliyotolewa leo asubuhi na
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais,
Ikulu, Gerson Msigwa imesema kuwa
uteuzi huo unaanza mara moja na wateule wote wataapishwa kesho mchana.
TAZAMA JAMAA HUYU ALIVYOKOSWA KOSWA NA KIFO KWA AJARI MTONI
from Blogger http://ift.tt/2nqhJEi
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2mX2f7E
via IFTTT