MZAZI mwenziye na Mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Hudson amesema kitendo cha serikali kumpa kashikashi kutokana na wimbo wake wa Wapo hakikumshangaza kwani alitarajia hayo yatokee kwa kuwa zilipendwa wake huyo ni mtu wa kukurupuka.
Akizungumza na gazeti hili juzi baada ya Nay kutoka polisi, Siwema alisema yeye amekaa na Nay kwa muda mrefu na mara nyingi akiamua jambo ndiyo hivyo wala hakuna mtu anayeweza kumshauri.
“Unajua Nay anapenda kukurupuka na wala hataki mtu apinge wazo lake, kama ameamua kufanya kitu anafanya tu na nilifahamu kuwa ipo siku hilo lingemtokea, sasa kama limepita anatakiwa kujitathmini upya,” alisema Siwema
Tazama video Mtoto amvua kofia
Papa Francis
Papa Francis
from Blogger http://ift.tt/2ogqG3M
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2nmiwT2
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2ogP1qi
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2oiEc7p
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2nqVNWL
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2mVEqkJ
via IFTTT