Ronaldo ametangazwa mshindi wa tuzo hiyo huku kocha wao wa timu ya taifa ya Ureno aliyowaongoza kushinda michuano ya Euro 2016 Fernando Santos kushinda tuzo ya kocha bora wa mwaka. Hii ni tuzo ya 11 ya Ronaldo toka 2016/2017 baada ya tuzo ya mchezaji bora wa Dunia wa FIFA aliyoichukua January 9 2017.
Tuzo ya mwanasoka bora wa dunia wa Globe Soccer Award kwa mwaka 2016 inakuwa ni tuzo ya 9 kwa Ronaldo kwa mwaka 2016, baada ya kushinda tuzo za mchezaji bora wa Ulaya, The World Soccer, Four Four Two, Espy, Di Stéfano Award, Goal.com award, FIFA Club Golden Ball na Ballon d’Or.
Fernando Santos
Renato Sanchez
KAMA ULIMIS VIDEO YA MCHEZAJI WA Ghana ALIE JIKANYAGA KWA KUWASHUKURU MKE NA MCHEPUKO WAKE TAZAMA HAPA
from Blogger http://ift.tt/2niRGPa
via IFTTT
from Blogger http://ift.tt/2nGYffC
via IFTTT
from WordPress http://ift.tt/2o17J1o
via IFTTT