Marianne Mdee, kwenye BIO yake katuandikia ana uwezo wa kuimba, kuandika nyimbo na kufanya utangazaji ambapo leo ndio siku rasmi ameamua kutuonyesha upande mwingine wa kipaji chake ambacho ni mziki, ukishamaliza kuitazama video yenyewe usisahau kuachia comment yako…