Ridhiwani Kikwete Akutana na Edward Lowassa, Asema Amejifunza Mengi Kutoka Kwake, na Bado Atajifunza

Baada ya Jana Ridhiwani Kikwete Kukutana na Edward Lowassa Uwanja wa Taifa na Kupiga nae Stori kidogo amefunguka haya kwenye ukurasa wake wa Twitter:


“Siasa ni Shule ambayo haina kikomo. Tusichoke kujifunza. Mimi nahisi bado niko shule ya Msingi na ninaendelea kujifunza.#siasasivita” Ridhiwani

 ANGALIA VIDEO CHIDEO

from Blogger http://ift.tt/2myc6A2
via IFTTT




from WordPress http://ift.tt/2mylnYN
via IFTTT