Alichokiandika Zitto Kuhusu Rafiki Yake Deo Filikunjombe Unknown 9:49:00 am CCM ZITO NA TAMKO LA KUVUJA KWA NYARAKA CHADEMA Zitto aliandika >>> ‘Naomba utulivu. 1) ajali ya helkopta imethibitishwa 2) kuwaka hakujathibitishwa 3)ndugu yangu Deo alikuwamo 4)hakuna uthibitisho wa madhara, naomba utulivu mpaka tupate taarifa rasmi zilizothibitishwa na mamlaka husika, naomba sana hilo ili kuepuka sintofahamu Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+