ACT-Wazalendo Njombe na kuelekea Dodoma katika Picha

Picha zifuatazo ni picha zinazo kampeni ya ACT-Wazalendo Njombe mjini leo zikiwa na mgombea wa Ubunge wa jombo la Njombe Kusini  kupitia chama hicho karibu na fuatilia.......

 
 Baadhi ya wakazi wa mkoa wa Njombe wakisikiliza sera za mgombea wa Chama cha ACT- Wazalendo, jombo la Njombe Kusini Emiliani Msigwa.



 Emiliani Msigwa Mgombea wa Ubunge wa jimbo la Njombe Kusioni kupitia chama cha ACT-Wazalendo 

Baadhi Wakazi wa njombe wakiwa katika Mkutano wa ACT-Wazalendo