WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 12/09/2015.
[Mikoa ya Mara na Kagera]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, Mvua
na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Ruvuma, Katavi,
Mbeya, Iringa, Njombe na Rukwa]:
[Mikoa ya Mwanza,Shinyanga,
Kigoma, Tabora na Singida]:
[Mikoa ya Dar es Salaama,Morogoro,
Pwani na Tanga]
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma, Mtwara na
Lindi]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
TAHADHARI:
UPEPO MKALI UNAOZIDI KM40 KWA SAA NA MAWIBI
MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
27°C
|
18°C
|
12:30
|
12:31
|
D'SALAAM
|
30°C
|
22°C
|
12:19
|
12:20
|
DODOMA
|
29°C
|
19°C
|
12:43
|
12:34
|
KIGOMA
|
33°C
|
19°C
|
12:57
|
12:58
|
MBEYA
|
25°C
|
07°C
|
12:44
|
12:42
|
IRINGA
|
27°C
|
14°C
|
12:34
|
12:33
|
MWANZA
|
30°C
|
21°C
|
12:43
|
12:46
|
TABORA
|
32°C
|
19°C
|
12:45
|
12:46
|
TANGA |
29°C
|
22°C
|
12:20
|
12:21
|
ZANZIBAR
|
31°C
|
22°C
|
12:19
|
12:20
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi
ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kwa
kasi ya km 40 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi hadi Makubwa.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu:
14/09/2015: Mabadiliko kidogo.
Utabiri
huu umetolewa leo tarehe: 12/09/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.