MAOMBOLEZO: KIFO CHA CELINA KOMBANI NYUMBANI KWA MAREHEMU MIKOCHENI DAR ES SALAAM





Marehemu Kombani anatarajiwa kuagwa leo katika Viwanja vya Karimjee, jijini na kusafirishwa kwenda Morogoro kwa maziko yanayotarajiwa kufanyika kesho katika kijiji cha Lukobe. 

Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Jenista Mhagama. (Na Mpigapicha Wetu).