Dk. Magufuli Ainadi Ilani ya CCM Mjini Musoma…!

 Wananchi wa Tarime wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye mkutano huo wa kampeni za CCM
Wananchi wa Tarime wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye mkutano huo wa kampeni za CCM
 Baadhi ya Wakazi wa mji wa Musoma waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alipokuwa  akiwahutubia jioni ya kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo, Dk. Magufuli aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.
  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo ambapo aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.

 Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji wa Tarime katika mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika mjini Tarime leo ambapo Dr. Magufuli amewaomba wananchi hao kumpigia kura za ndiyo ili aweze kuingia ikulu na kuwatumikia watanzania kwa ajili ya kuleta mabadiliko bora kwa watanzania na siyo bora mabadiliko.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Musoma mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Mkendo ambapo aliwaambia wananchi hao ifikapo oktoba 25 wajitokeze kwa wingi wakampigie kura kwani anataka kuwatumikia Watanzania kwa kuwaletea maendeleo.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dr. John Pombe Magufuli akipiga Drums Ngoma za muziki wakati alipofika Utegi wilaya ya Rolya na kufanya mkutano wa kampeni.
 Sehemu ya nyomi la watu mjini Nyamongo wilayani Tarime
 Mgombea Urais wa CCM Dk. Magufuli akishangiliwa na uati wa watu mara baada ya kuwahutubia wakazi hao mji wa Nyamongo,wilayani Tarime.
 Jaji Mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba akizungumza na wananchi wa mjini Tarime wakati alipokuwa akimpigia debe Dr. John Pombe Magufuli. 
 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dr. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba yake mjini Tarime.
 Sehemu ya umati w Wananchi wakifuatilia sera za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Joseph Magufuli,alipokuwa akiomba ridhaa ya kuiongoza Tanzania katika awamu ya tano
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Joseph Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tarime waliofurika kwa wingi.  
 Jukwaani napo palikuwa hapatoshi
 Wazee wa kimila wa wilaya ya Tarime wakisubiri kusalimiana na mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli.
 Mgombea Urais wa CCM,Dkt John Pombe Magufuli  akiwahutubia Wananchi wa Rorya katika uwanja wa Utegi
 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia Wananchi wa Rorya katika uwanja wa Utegi 
 Mbwembwe za boda boda kama hivi zilikuwepo mjini Musoma
 Mgombea Urais wa CCM Dkt  Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Mukendo jioni ya leo,ambapo pia aliwahutubia wananchi hao 
 Kikundi cha Tot Plus kikitumbuiza jukwaani
 Wakazi wa Mji wa Musoma wakishangilia yaliyokuwa yakijiri kwenye uwanja wa Mukendo mjini Musoma jioni ya leo.
 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Makongoro Nyerere akihutubia mkutano wa kampeni za CCM za kumnadi Dk. John Pombe Magufuli.
 Mabango ya wafuasi wa chama cha CCM. 
 Naibu Waziri wa  Fedha Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba akihutubia wakazi wa mji wa Musoma kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
 Sehemu ya umati wa watu waliofika kumsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia kwenye uwanja wa Mkendo mjini Musoma jioni ya leo