Askofu Gwajima ameyajibu haya>>> Rushwa kwa Maaskofu, uongo, Dk. Slaa, mke na watoto.. Lowassa na mengine..

Siku chache baada ya aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaakutangaza kwamba ameamua kuachana na Siasa, hiyo ilikuwa siku kadhaa baada ya Dk. Slaa kutoonekana kwenye Mikutano pamoja na Vikao vya CHADEMA pamoja na Vyama vya UKAWA, stori ambazo zinamtaja yeye bado hazijaacha kuibuka.
Kulikuwa na madai ambayo yaliripotiwa na Vyombo vya Habari pamoja na kuandikwa sana Magazetini na Mitandaoni pia ambapo Maaskofu walitajwa kuhusishwa na Rushwa… Askofu wa Kanisa la Ufufuo na UzimaAskofu Josephat Gwajima kaongea Dar es Salaam… kwenye alichokisema kuna hizi nukuu za alichokisema pamoja na pichaz pia.
Screen Shot 2015-09-08 at 7.10.39 PM
Askofu Gwajima akiwa na Maaskofu na Wachungaji pamoja na Maaskofu wakati wa Kikao hicho.
Screen Shot 2015-09-08 at 7.10.54 PM
Askofu Gwajima akionesha message aliyotumiwa na Dk. Slaa kuhusu kuachana na Siasa.
Askofu Gwajima akionesha message aliyotumiwa na Dk. Slaa kuhusu kuachana na Siasa.

Screen Shot 2015-09-08 at 7.11.36 PM
By Millardayo.com