UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO


WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 28/08/2015.


[Maeneo ya miinuko ya Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam,Morogoro na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Kagera na Mara]:


Hali ya Mawingu kiasi, ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.



[Mikoa ya Katavi, Mbeya, Iringa, Njombe na Rukwa]:
[Mikoa ya Kigoma, Tabora,Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Geita]:
[Mikoa ya Mtwara, Lindi na Ruvuma]:




Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.




VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)

ARUSHA
25°C
17°C
12:38
12:37
D'SALAAM
31°C
21°C
12:30
12:22
DODOMA
29°C
16°C
12:43
12:37
KIGOMA           
34°C
19°C
01:06
01:02
MBEYA
26°C
09°C
12:55
12:43
IRINGA
26°C
14°C
12:48
12:34
MWANZA
32°C
18°C
12:51
12:51
TABORA
32°C
16°C
12:54
12:50
TANGA
30°C
22°C
12:29
12:25
ZANZIBAR
30°C
23°C
12:30
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki; kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini na kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi Makubwa Kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumapili: 30/08/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 28/08/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.