UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 31/08/2015.
[Mikoa ya Kigoma, Mwanza, Geita, Kagera na Mara]:


Hali ya Mawingu kiasi, Mvua na ngurumo katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Tanga, Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Katavi, Mbeya, Iringa, Njombe na Rukwa]:
[Mikoa ya Shinyanga, Tabora, Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Morogoro, Mtwara, Lindi na Ruvuma]:




Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.




VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)

ARUSHA
27°C
15°C
12:33
12:35
D'SALAAM
30°C
21°C
12:24
12:22
DODOMA
29°C
15°C
12:38
12:36
KIGOMA           
31°C
18°C
01:02
01:00
MBEYA
25°C
05°C
12:49
12:43
IRINGA
26°C
13°C
12:39
12:35
MWANZA
30°C
18°C
12:47
12:49
TABORA
32°C
17°C
12:50
12:48
TANGA
29°C
22°C
12:25
12:23
ZANZIBAR
30°C
21°C
12:24
12:22
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kwa kasi ya km 20 kwa saa kutoka Mashariki kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Madogo hadi makubwa.

Matazamio kwa siku ya Jumatano: 02/09/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 31/08/2015.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.