UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.

WIZARA YA UCHUKUZI
                             MAMLAKA  YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 16/08/2015.


[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Tanga]:
[Mkoa wa Morogoro (Kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Mara,Mwanza, Kagera,Shinyanga na Geita]:
[Mikoa ya Katavi, Mbeya, Kigoma, Tabora na Rukwa]:
[Mikoa ya Iringa, Njombe, Mtwara, Lindi na Ruvuma]:
[Mikoa ya Dodoma, Singida na Morogoro(Kusini)]: [Mikoa ya Kilimanjaro,Arusha na Manyara]:



Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.




VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Kiwango cha chini cha joto
Mawio (Saa)
Machweo (Saa)

ARUSHA
24°C
13°C
12:40
12:38
D'SALAAM
33°C
22°C
12:33
12:21
DODOMA
28°C
15°C
12:46
12:37
KIGOMA           
32°C
19°C
01:09
01:02
MBEYA
25°C
09°C
12:58
12:42
IRINGA
26°C
13°C
12:48
12:34
MWANZA
30°C
18°C
12:53
12:52
TABORA
31°C
17°C
12:57
12:50
TANGA
30°C
22°C
12:32
12:25
ZANZIBAR
31°C
24°C
12:33
12:21


Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi: Makubwa kiasi.

Matazamio kwa siku ya Jumanne: 18/08/2015: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 16/08/2015.


Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.