Karibu mpenzi msomaji wa mtandao huu katika kurasa hii nakuletea minindo mbalimbali ya jinsi ya kujifunga maharusi nywele mfanye BIBI harusi apendeze kwa kuweka Nywele zake katika mitindo ambao unaendana na kichwa chake
Pitia picha mbalimbali za mitindo ya Nywele picha hizi kwa msaanda wa PeridasFasion
Ifanye harusi yako kuwa ya kipekee na muonekano wako wa kipekee pia, siku zote mwanamke ndiyo ua siku iyo kila mtu anakutupia jich wewe katokaje, sasa kama utavulunda basi utajiharibia siku yako kwa wageni wako, ila kama tutakuwa wabunifu siku zote kama wanawake basi tutapendeza.