Nancy mshindi Tuzo la Komla Dumor Unknown 10:39:00 am habari na BBCSWAHILI Marehemu Komla Dumor Mwanahabari kutoka Uganda, Nancy Kacugira ni mshindi wa Tuzo la kwanza la kumuenzi aliyekuwa mtangazaji wa BBC, Komla Dumor. Tuzo hilo lina lengo la kuendelea kuimarisha uandishi wa habari kuhusu Afrika Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+