MTOTO WA LOWASSA, UMESHAMUONA AMEVAA GWANDA.... NIMEKUWEKEA HAPA AKIWA NA MH.SUGU Unknown 8:39:00 pm #Lowasa #Maarufu Mtoto wa Mh Edward Lowassa, Fred Lowassa akiwa na Mh. Joseph Mbilinyi Sugu Wadau wa Chadema wakiwa katika Mkutano Wa Chadema Moja ya Matukio yanaliyoendelea katika Mkutano huo. ********* Walio wengi hatujawahi kumuona mtoto wa Mh. Edward Lowassa, au kama tulishawahi kumuona hatujawahi kumuona akiwa amevaa gwanda . Nimekuwekea hapo juu picha yake akiwa na Mh. Joseph Mbilinyi sugu. Share this Share on FacebookTweet on TwitterPlus on Google+