Ujumbe Mzito kwa Wananchi Watanzania Usiku Huu Kupitia Ukurasa Wake wa Facebook..Lowassa

Waziri Mkuu Msaafu na Mbunge Wa Monduli  Mh Edward Lowassa Ameandika Ujumbe Mzito kwa Wananchi Watanzania Usiku Huu Kupitia Ukurasa Wake wa Facebook..Lowassa Amekuwa Kwenye headlines Kwa Siku Za Karibuni Katika Harakati za Kuomba Kuteuliwa Kupeperusha Bendera ya  Chama cha Mapinduzi  Katika Nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nafasi iliyoenda Kwa Mh John Magufuli.