PINDI CHANA APONGEZWA KWA KUANDAA MAFUNZO YA SIKU MOJA YA BIMA YA AFYA KWA WAWAKILISHI WA WANANCHI WILAYA YA NJOMBE


RC NJOMBE AKITOA HOTUBA YAKE KATIKA UKUMBI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE
MBUNGE VITI MAALUMU NA NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII,WANAWAKE JINSIA NA WATOTO DKT PINDI HAZARA CHANA KUSHOTO KWAKE NI MKUU WA WILAYA YA NJOMBE BI SARAH DUMBA KATIKATI NA RC NJOMBE DKT REHEMA NCHIMBI

PICHA YA PAMOJA NA RC NA VIONGOZI WENGINE  WA CHAMA NA SERIKALI