Ndizi ni matunda ambayo yanatumiwa sana kutngenezea snacks, lakini hivi unajua jinsi gani hili tunda lina faida katika wili wako kutokana na matumizi yake mbalimbali? Leo Ngoja nikwambie faida za kula hili tunda:
Madini ya Potassium
Tunda la ndizi ni moja wapo ya matunda ambayo yana madini ya potassium. Madini haya yanafanya kazi mwilini kwa kusaidia moyo uwe katika hali nzuri muda wote na kusaidia kuwe na msukumo wa damu wa kawaida.Tafiti mbali mbali zimeonyesha kuwa kula vyakula vyenye madini ya potassium kwa wingi inasaidia kupunguza Blood Pressure, pia utafiti mwingine unaonyesha kula ndizi mara kwa mara kunasaidia kupunguza hati hati ya kupata ugonjwa wa stroke kwa asilimia 40%.

Nguvu Zaidi.
Ukiangalia katika swala la kuongeza nguvu mwilini utaona watu wanatumia soft drinks (energy drinks). Ujue hivyo vinywaji vimewekewa kemikali mbali mbali kwa hiyo kunywa hivyo vinywaji ili kuongeza nguvu kwa namna nyingine unaongeza kemikali mwilini ambazo ni sumu, hivi kwani hatuwaonagi wanamichezo wanavyokula ndizi baada au kabla ya mchezo.
Mimi binafsi naona mchanganyiko huu wa sukari halisi, madini ya pottassium, ili kuongeza nguvu katika mwili ni wazo zuri kuliko kunywa hivyo vinywaji. Mimi huwa napendelea kula nusu saa kabla cjaanza kufanya mazoezi.

Nimeshafanya utafiti nimeona kula ndizi baada ya mazoezi au kabla ya mazoezi inasaidia sana kupunguza uzito na hata kuwa katika afya njema.
Hurahisisha mmeng’enyo wa chakula
Ndizi zinautajiri mkubwa wa dietary fuber ambazo watu wengi inakua vigumu kupata katika vyakula vyetu vya kawaida. Fiber hizi zinasaidia chakula unachokula kuteleza vizuri wakati wa mmeng’enyo wa chakula.

Kula ndizi kila baada ya chakula ni wazo zuri sana kwa ajili ya kurahisisha mmengenyo wa chakula.
Ndizi ina Vitamini B6
Tukionglea maswala ya vitamin, tunda la ndizi lenyewe ni tajiri wa vitamin B6. Vitamini hizi ni nzuri kwa ajili ya Damu
B6 pia inasaidia kusimamia level ya sukari katika damu na kuvunja vunja acid mbali mbali ambazo zina madhara katika damu,alafu pia inatoa antibodies za kuufanya mwili wako uwe katika hali ya kawaida usijisikie kama kuna utofauti wowote.
Kula ndizi moja tu kwa siku, inakuongezea vitamin B6 ambayo ni zaidi ya kiwango ambacho unatakiwa kuwa nacho katika aina hii ya vitamin B6, na pia ni tamu kuliko vidonge vyake vya hii vitamini. Kwa hiyo ni bora kula tunda lenyewe kuliko kumeza vidonge vya vitamin B6.

Vitamini na madini
Pamoja na kuwa ni utajiri wa madini ya potassium na vitamin B6, tunda la ndizi lina chembe chembe ya vitamin C kwa mbaaaali, pia madini ya magnesium na manganese.
Hizi vitamin na madini pia ni vyanzo vya vitamin B kwa kuwa na chembe chembe ndogo za madini mbali mbali kama, iodine,iron, na selenium.
Hizo pia ni sababu za kukufanya ununue hata mkungu mmoja wa ndizi ukauweka pale jokoni kwenye kona. Unapendaje kula tunda la ndizi? Unapenda kula peke yake au kuchanganya na chakula, mara nyingi nawaona watu wanapenda kuchanganya na chakula hii pia ni sawa maana bado unakua unakula tunda lenyewe. Nitafurahi kama ukishare na mimi kitu chochote unachokijua kuhusu ndizi maana ninvyojua maganda ya ndizi yanasaida kusafisha meno yawe meupe. Sijui umewahi kusikia hiii??