Jembe ni Jembe beach, Nyegezi Mwanza
ni Picha nilizozipiga mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka jana kwenye kiota kinachokonga maraha katika jiji la Mwanza. Ni Jembe ni Jembe beach iliyopo maeneo ya Nyegezi, nje kidogo ya jiji la Mwanza. Kiota hiki cha maraha kipo karibu na Chuo cha Mtakatifu Augustine campus ya Nyegezi.
Upande wa Ziwani
Baadhi ya Milima ya Nyegezi ikionekana kwa mbali
