Mwaka huu uwe wa mafanikio kwako timu nzima inakutakiwa Khira la Kheli kwaka 2015

E-Madia inakutakia Khira la Kheri kwa mwaka huu tuliouanza kwa Uweza wa Mungu ambaye ametuwezasha kuvuka mwaka 2014 na kuingia mwaka 2015 mwaka ulio pita tulikuwa na matukio mbalimbali ya kiuchumi na kisiasa.

Ambayo yaliripotiwa sana kwa mwaka uliopita, E-Media imejipanga kukuhabarisha kila kitakachokuwa kikitokea hapa nchini na ulimwenguni kwa ujumla, kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari ambayo wewe si rahisi kuvifiukia vyote kwa wakati mmoja E-Media itakukushanyia habari hapa.

Ni kutoka Wavuti, blogu na radio pamoja na tv za hapa nchini na kukuwekea hapa hapa na wewe kunufaika kihabari na kuupanua ubongo wako.

Pia kwa mwaka huu tutakuwa na habari shirikisha na utashiriki kwa kutu SMS nasi tutakupandia Hewani kujua nini kimejili upande ulipo wewe na wenzako wanahitaji kukijua piga sim namba 0753321191, 0788056115 na 0656049045, 

Mungu akitujalia Elimtaa habari za tanzania itaziweka kwa kiingeleza ili na wenzetu walioko nje wajue nini kimejili hapa nchini kupitia hapa Elimtaa.

Kama unahitaji kutangaza nasi piga simu za hapo juu au wasiliana nasi kwa Email furahanews1@gmail.com na tangazo linaonekana Elimtaa Media zikiwemo na picha tele za bidhaa au kile unacho taka kutangaza.

Mwaka huu pia E-Media itatoa fursa za kutosha kwa wamiliki wa hotel kote nchini Tanzania kuwaelekeza watu unapo poatikana,
kama una hotel na upo tayari usisite wasiliana nasi kwa emaili hapo juu jiandae kupokea wageni kutoka nje na ndani ya nchi kwa ku