DIAMOND PLATINUMZ ALIVYOACHA HISTORIA KIGALI, RWANDA USIKU WA JANA!


Umati wa watu waliojazana Amahoro kushuhudia show ya mkali anayefanya vyema toka Tanzania, 
Diamond Platinumz!
Hii ilikua suprise! Diamond Platinumz akiwa na wasanii wawili wa Yamoto Band, Maromboso kushoto na Aslay kulia kwake!