SIKU YA UKIMWI DUNIANI YAFANYIKA KITAIFA

MAKAMU wa rais wa Jamuhuri ya muunganoi wa Tanzania Dr Muhamed Ghalib Bilal amesema kuwa kujamiana kinyume cha mazingira ni kunasababisha maambukizi ya virusi vya ukimwi, na kuwataka watanzania kutumia kinga.

Akizungumza katika maazimisho ya siku ya ukimwi diniani ambayo kitaifa yamefanyioka mkoani Njombe Bilal amesema kuwa wananchi watambue kuwa hata kufanya mapenzi kinyume na mazingira kunaweza sababisha maambukizi ya ukimwi.

Alisema kuwa watui wengi wamekuwa wakifikiri kufanya mapenzi kinyume na maumbule hakuwezi kusababisha maambukizi, na amewataka watanzania kwenda kupima virusi vya ukimwi ili kuhakikisha hawaambuklizani kwani wakijitambua hawata ambukizana.

“Serikali imechukia mipango mikakati ya kupambana na maambukizi ya kwa kufanya tohara ya kitabibu kwa wanaume na sasa jumla ya wanaume 400,000 wamepatiwa tohara hapa nchini,” aliongeza Bilal.

Alisema kuwa pia serikali inawahimiza watanzania wote ambao bado hawajafanyiowa tohara kuwahi kufanyiowa tohara ili kupunguza kasi ya maambukizi ya VVU, na kuwa kwa mwanaume aliye fanyiwa tohara anauhakika wa kujikina kwa asilimia 99.9 na maambukizi ya virusi vya ukimwi.

Alisema serikali inamalengo ya kuwafikia wanaume wengi zaidi hasa katiuka mikoa ya Nnjombe, Iringa, Mbeya, ambako kunamaambukizi mengi na kunaomboza kitaifa ukimwemo mkoa wa Njombe.

Aidha alisema kuiwa takwimu za kitaifa za mwaka 2012 zinaonyenyesha asilimia 5.1 wanawake ni salimia 6.2 na wanaume nia aslimia 3.8 na 1.9 kutoaka ilivyo kuwa mwaka 2003-2004 na wanaume zaidi mil.1.4 ya wanaishi na virusi vya ukimwi na hao ni wenye umri wa miaka watoto wenye mri wa miaka 15 wakiwemo.

Bilal alisema kuwa kwa watanzania 72,000 kila mwaka hutikea kila mwaka na kupungua kwa zaidi na nusu ukilinganisha na mwakati virusi hivyo vinaingua hapa nchini.

Alisema kuwa kuna baabdi tya mikoa inaongoza zaidi ya aslimia ya kitaifa asilimia 5 na kuwa mikoa hiyo ni Njombe asilima 14.8, Mbeya, Rukwa, Ruvuma, na kuwa kuma mikoa michache ambayo ina asilimia ndogo kabisa Manyara Tanga, na Pemba.

Alisema kuwa kupambana na maambukizi ya ukimwi ni juhudi ya kila mmoja kuanzia katika ngani ya mut mmoja, familia serikali za kijiji na hatimaye serikali kuu.

Bilal ameongeza kuwa serikali inampango wa kuipeleka elimu hiyo kwa watoto mashuleni ili kuanza kujikinga na kuwa na tahadhari mapema kabla ya kufikia umri wa kuanza ngono.

Alisema serikali kwa kufanya hivyo itawasaidia wananchi kupunguza maambukizi na kuwa hivi sasa dunia inajumla ya watu milioni 30 wamekufa kutokana na ukimwi tangu ulipo anza miaka ya 1800 na watoto wengi wameachwa yatina na watu walio na maambukizi kwa sasa duniani wanafikia bilioni 33.