HAPPY NATION LILILOPATA AJALI KWA KUGONGANA NA GARI DOGO USO KWA USO






 Na Eddy Blog
Kuna ajali imetokea muda mchache uliopita eneo la HEDARU mkoani kilimanjaro ambapo gari ndogo limezama chini ya basi la kampuni ya HAPPY NATION kama unavyoona hapo kwenye picha

Inadaiwa watu wote waliokuwa kwenye gari dogo wamepoteza maisha ingawa bado haijathibitishwa rasmi na vyombo husika

Kwa mujibu wa mdau wa mtandao huu amesema polisi wameshafika eneo la tukio kuendelea na taratibu zao na taarifa zaidi utaendelea kuzipata hapa hapa

Related Posts