Kikosi cha zima moto cha manispaa ya Moshi kilifika eneo la tukio kwa ajili ya kuudhibiti moto huo.
Askari wa Kikosi cha zimamoto akijaribu kuzima moto uliokuwa ukiteketeza gari hilo.
| Baadhi ya mashuhuda wakitizama moto ulivyokuwa ukiteketeza gari hilo. |
| Askari wa kikosi cha zima moto walifanikiwa kuuzima moto huo. |
| Hata hivyo sehemu ya mbele ya gari hilo tayari ilikuwa imeteketea moto kwa kiasi kikubwa. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.
