AJALI MBAYA MBEYA

Ajali mbaya imetokea eneo la St.Aggrey asubuhi ya leo.

Askari PC.Alex na mwanafunzi wa kidato cha tatu sekondari ya Meta, wamevunjika mikono na miguu baada ya pikipiki waliyokuwa wakisafiria, kugongwa na ''tiper'' lori la mchanga.

Muda huu wapo hospitali ya Rufaa Mbeya.