ADS: USICHOME MOTO

MAHENGE & FAMILY CO. LTD
INAYO JISHUGHULISHA NA UPANDAJI WA MITI NA UTUNZAJI WA MAZINGIRA.
Inawakumbusha:
WANANCHI wote wanatakiwa Kutochoma moto hovyo,
Walio na misitu wanakumbushwa  kuzungusha barabara kuzuia moto kwenye misitu (Fire Line)
Kuchoma moto kunaweza kuleta hasara kubwa sana ambayo haikutarajiwa kutokea.
Hasala inayo weza kutokea kutokana na kuchoma misitu ni kuteketea kwa misitu ambayo inakaribia kuvunwa na midogo itateketea pamoja na viumbe hai vingine.
Kwa sababu tunaelekea katika msimu wa jua kali na nyasi kukauka moto umekuwa ukiathili zaidi misitu yetu.
Hivyo haipaswi kuchoma moto hovyo msimu huu wa kiangazi
hivyo tunapaswa wananchi wote kutochoma moto hovyo  ambao hauna sababu ya msingi na haijulikani ukiwaka utaishia wapi.

Picha hapo juu ni moja ya madhara ya uchomaji miti
"IMETOLEWA" NA 
MAHENGE & FAMILY CO.LTD : TUNAOMBA MSAADA WAKO KWANI TUMEKUWA TUKIFANYA KAZI YA Utoaji wa elimu kwa umma huko vijijini kwa kujitolea
MAWASILIANO YETU NI: SIMU +255 787 081 514, +255 753 355 277,
P.O.Box 1966, Mbeya-Tanzania
TUNAPATIKANA UYOLE, MBEYA, TANZANIA