| Ofisi mbali mbali katika hifadhi ya Taifa ya Manyara mkoani Arusha zikiwa zimekumbwa na mafuliko baada ya mvua kubwa kunyesha mwezi April mwaka jana |
| Hizi ni ofisi katika hifadhi ya Manyara ambazo zimekumbwa na mafuliko |
| Hizi ni ofisi za muda zilizojengwa katika hifadhi hiyo ya Manyara |
| Wanahabari mkoa wa Iringa wakiwa katika hifadhi ya Manyara wakati wa ziara yao katika hifadhi hiyo na nyingine za mikoa ya Kaskazin |
habari na Francis Godwin
