KENYA: NI FULL SHANGWE RAIS WA AWAMU YA NNE AAPISHWA LEO

Uhuru Kenyatta aapishwa kuwa rais rasim wa Kenya leo katika Uwanja wa Kasarani nchini Humo.

Hafla hiyo imeudhuliwa na marais kutoka katika nchi zaidi ya saba akiwemo Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.

Deputy president Williamu Ruto ashika nafasi hiyo nae ala kiapo cha kushika nafasi hiyo mbele ya umati wa watu.

Bendela ya Mwai Kibaki yashushwa na yapandishwa ya Uhuru Kenyatta,

Mizinga 21 yapigwa kuashilia kushika madaraka kwa Rais Kenyatta.

Akabishiwa Bendera yake na ameruhusiwa kwenda kupumzika baada ya kuitumikia nchi hiyo kwa miaka 10 ya kurais nchini Humo.