Showing posts with label 2017 at 01:49PM. Show all posts
Showing posts with label 2017 at 01:49PM. Show all posts
Ratiba kamili ya Liverpool msimu wa 2017/2018.

Ratiba kamili ya Liverpool msimu wa 2017/2018.

Jurgen Klopp alitarajiwa kufanya makubwa akiwa na Liverpool na wengi wakiamini huenda akawa mtu sahihi kurudisha heshima iliyopotea kwa muda sasa katika klabu hiyo, hadi sasa hajafanya jambo kubwa sana lakini je kwa ratiba hii anaweza kuipa Liverpool taji la Epl msimu ujao wa ligi?
AUGUST
12/08/2017 15:00 Watford v Liverpool
19/08/2017 15:00 Liverpool v Crystal Palace
26/08/2017 15:00 Liverpool v Arsenal
SEPTEMBER
09/09/2017 15:00 Manchester City v Liverpool
16/09/2017 15:00 Liverpool v Burnley
23/09/2017 15:00 Leicester City v Liverpool
30/09/2017 15:00 Newcastle United v Liverpool
OCTOBER
14/10/2017 15:00 Liverpool v Manchester United
21/10/2017 15:00 Tottenham Hotspur v Liverpool
28/10/2017 15:00 Liverpool v Huddersfield Town
NOVEMBER
04/11/2017 15:00 West Ham United v Liverpool
18/11/2017 15:00 Liverpool v Southampton
25/11/2017 15:00 Liverpool v Chelsea
29/11/2017 20:00 Stoke City v Liverpool
DECEMBER
02/12/2017 15:00 Brighton and Hove Albion v Liverpool
09/12/2017 15:00 Liverpool v Everton
13/12/2017 20:00 Liverpool v West Bromwich Albion
16/12/2017 15:00 Bournemouth v Liverpool
23/12/2017 15:00 Arsenal v Liverpool
26/12/2017 15:00 Liverpool v Swansea City
30/12/2017 15:00 Liverpool v Leicester City
JANUARY
01/01/2018 15:00 Burnley v Liverpool
13/01/2018 15:00 Liverpool v Manchester City
20/01/2018 15:00 Swansea City v Liverpool
30/01/2018 19:45 Huddersfield Town v Liverpool
FEBRUARY
03/02/2018 15:00 Liverpool v Tottenham Hotspur
10/02/2018 15:00 Southampton v Liverpool
24/02/2018 15:00 Liverpool v West Ham United
MARCH
03/03/2018 15:00 Liverpool v Newcastle United
10/03/2018 15:00 Manchester United v Liverpool
17/03/2018 15:00 Liverpool v Watford
31/03/2018 15:00 Crystal Palace v Liverpool
APRIL
07/04/2018 15:00 Everton v Liverpool
14/04/2018 15:00 Liverpool v Bournemouth
21/04/2018 15:00 West Bromwich Albion v Liverpool
28/04/2018 15:00 Liverpool v Stoke City
MAY
05/05/2018 15:00 Chelsea v Liverpool
13/05/2018 15:00 Liverpool v Brighton and Hove Albion
 ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2rqK54f
via IFTTT


Maneno ya Wema Sepetu baada ya kifo cha Mzazi mwenzake na Zari

Maneno ya Wema Sepetu baada ya kifo cha Mzazi mwenzake na Zari

Kifo cha mfanyabiashara maarufu na aliyekuwa mume wa Zari The Boss lady, Ivan Semwanga ni moja kati ya habari zinazozungumzwa sana kwenye mitandao ya kijamii kwa kugusa hisia za wengi.
Baada ya Zari kuthibtisha kifo cha aliyekuwa mume wake, watu mbalimbali wamekuwa wakituma salamu zao za pole kwa familia wakionesha kusikitika kwa kuguswa na msiba huu ambapo miongoni mwa watu hao ni Miss TZ 2006 Wema Sepetu.
Wema aliandika kwenye account yake ya Instagram
“Broken hearted…๐Ÿ’”๐Ÿ’”๐Ÿ’”… Rest In Peace Ivan… ๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ … SHOCKING NEWS kwakweli… rambirambi zangu kwa familia nzima… Mungu awatie nguvu wale watoto jamani… ๐Ÿ˜” bado ni wadogo mno… na Mungu amtie nguvu Mama watoto wako… utakua wakati mgumu kwenu lakini itapita”

from Blogger http://ift.tt/2qZNpSq
via IFTTT


Paul Makonda Atumia Mbinu za Kimafia Dhidi ya Vyombo vya Habari Kufikisha Ujumbe wa Taarifa ya Mkoa..!!!

Paul Makonda Atumia Mbinu za Kimafia Dhidi ya Vyombo vya Habari Kufikisha Ujumbe wa Taarifa ya Mkoa..!!!

Pamoja na matamko na mikakati ya wana habari na wahariri kwa ujumla wao kuamua kwa Pamoja kutoandika au kutangaza habari za Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es salama kwa sababu kile kilichoitwa uvamizi wa kituo cha Clouds Media TV na redio.
Sasa Paul Makonda ametumia mbinu za kimafia kuhakikisha ujumbe kuhusu maendeleo ya Mkoa yanawafikia wana Dar es salama kwa kufanikiwa kuhojiwa mubashara na Star TV na TBC 1.
Na hiyo hali hiyo imesababisha Sasa hivi mitandao ya kijamii yote kuibuka na taarifa zake kila kukicha na hii itaendelea na Kuna uwezekano ndiyo ikawa ndiyo mwanzo wa kuvunjika kwa makubaliano yaliyokuwepo awali ya kutotoa habari zake kwa wana habari na wahariri ktk majukwaa tofauti!!

from Blogger http://ift.tt/2rT6gfc
via IFTTT


Zijue Faida Na madhara ya Matumizi Ya Chumvi Kifua

Bila shaka kila mmoja wetu anapenda sana kuitumia chumvi, na hii hutokea hasa pale anapokula chakula chenye uhitaji wa chumvi. Lakini Watu wengi wamekua wakiitumia chumvi kulingana na matakwa yao binafsi bila kujua bila kujua chumvi ina mahusiano yapi afya zao. Wengi hutumia kwa ajili ya kupata radha katika chakula anachokula.
Wengi wetu wanakula chumvi bila hata kujua kiwango gani cha chumvi hitachohitajika mwilini? Je wewe ni miongoni mwa watu hao? Kama jibu ni ndio nakusihi ufutane na Dr. Julius Kimaro katika Makala haya kwani ameeleza kwa kina zaidi. Ambapo Anasema:
CHUMVI
Kikemia chumvi ina madini ya sodium chloride ambayo huitajika sana mwilini. Na madini hayo husaidia kwa kiwango kikubwa katika mwili wa mwanadamu kama ambavyo nitaeleza hapo chini:
Faida za chumvi
•Moja kati ya faida kubwa ya chumvi ni kuweka sawa kiwango cha maji mwilini (fluid balance) kinachoptaikana katika mwili wa mwanadamu.
• chumvi husaidia katika kuweka sawa mtiririko wa mapigo ya moyo (heart rhythm) pale inapotumika kwa usahihi.
•Husaidia katika kutanuka na kusinyaa kwa misuli (contract and relax of muscles), ambapo misuli hiyo husaidia kwa kiwango kikubwa usafishaji wa damu na maji endapo itakuwa haijaithiriwa na kiwango cha chumvi kwa wingi.
Madhara ya chumvi.
Madhara makubwa yatokanayo na ulaji mbaya wa chumvi ni shinikizo la damu (blood pressure). Kwani ukweli usiopingika ni kwamba kuna mahusiano ya moja kwa moja ya utumiaji wa chumvi kwa wingi na na kupanda kwa presha.
Hata hivyo wataalamu wa afya wamebaini ya kwamba uwepo sodium ambayo ipo kwenye chumvi ndiyo chanzo kikubwa cha kuasababisha ugonjwa huo. Kwani tafiti zinaonesha ya kwamba binadamu akitumia chumvi kwa asilimia 40 ya uzito wake ana uwezo wa kupunguza kupata shinikizo la damu.
Nini kifanyike:
Muhumu kuzingatia kuwa kiwango salama cha chumvi kwa mtu mzima hutakiwa kula chumvi kiasi cha 500 milligram ambayo ni sawa na robo ya kijiko cha chai kwa siku ili kuweza kuepukana na matatizo yatokanayo na ulaji wa chumvi kwa wingi.
Mpaka kufikia hapo sina la ziada nikutakie siku njema, na usisiahau kumshirisha na mwingine ujumbe huu, ili kulinda kizazi hiki kwa kuepeka matumizi mabaya ya chumvi.
TAZAMA JAMAA HUYU ALIVYOKOSWA KOSWA NA KIFO KWA AJARI MTONI

from Blogger http://ift.tt/2mTRWQJ
via IFTTT


Kategori

Kategori