MWALIMU Kaingia darasani na kusema. "Wanaojijua wajinga wasimame",
MADENGE, akasimama peke yake.
MWALIMU: Wewe ndio mjinga?.
MADENGE: hapana ila nimeona umesimama peke yako
nikaona usijisikie vibaya nikaona angalau tuwe wawili...

MWALIMU Kaingia darasani na kusema. "Wanaojijua wajinga wasimame",