Tunawakaribisha wawekezaji kutoka Norway – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Borge Brende, Ikulu jijini Dar es salaam huku akiwakaribisha wawekezaji kutoka nchi hiyo.
Soma taarifa kamili:
ASANTE KWA KUTEMBELEA MTANDAO WETU!!

from Blogger http://ift.tt/2tuwAkw
via IFTTT