DR SLAA AANDIKA UJUMBE MZITO KUHUSU KUHAMA CHAMA HICHO SASA HIVI KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK

HABARI ZA HIVI PUNDE: "HAKUNA SINTOFAHAMU YOYOTE KATI YA YANGU MIMI Dr. Slaa, Mbowe, Mnyika, Tundulisu na wengineo kwa ujio wa mgeni Mhe. Lowassa wala hakuna chochote kilichoharibika ndani ya CHADEMA, NCCR, NLD, CUF wala kwa wanachama, wafuasi na wapenzi wa UKAWA