BREAKING NEWS : BAADA YA BASATA KUMFUNGIA SHILOLE AFUNGUKA MAZITO LEO

 

Shishi
Baraza la sanaa Tanzania BASATA limemfungia msanii wa bongofleva Shilole kutojihusisha na kazi yeyote ya mziki kwa mwaka mmoja kutokana na madai ya kuidhalilisha sanaa na Tanzania pale alipopanda jukwaani nchini Ubelgiji na nguo yake kuachia na maziwa yake kuonekana.